Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na wafanyakazi wa kiwanda cha Saruji cha Kilimanjaro alipowasili
kukizindua maeneo ya Maweni jijini Tanga Agosti 6, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiakata utepe kufungua rasmi kiwanda cha Saruji cha Kilimanjaro maeneo
ya Maweni jijini Tanga Agosti 6, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Mwijage wakifunua kitambaa kama ishara ya
kuweka jiwe la msingi upanuzi wa kiwanda cha maziwa cha Tanga Fresh
maeneo ya Kange jijini Tanga Agosti 6, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiongea na mwandishi wa habari wa TBC Bi. Vumilia Mwasha baada ya kuweka jiwe
la msingi upanuzi wa kiwanda cha maziwa cha Tanga Fresh maeneo ya Kange
jijini Tanga Agosti 6, 2017
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
na mkewe Mama Janeth Magufuli wakicheza ngoma ya Baikoko wakati wa sherehe za
uwekaji wa jiwe la msingi wa matanki ya kuhifadhia mafuta ya kampuni ya GBP
yenye ujazo wa lita 300,000
eneo la Raskazone jijini Tanga Agosti 6, 2017.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipiga ngoma ya Baikoko wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi
wa matanki ya kuhifadhia mafuta ya kampuni ya GBP yenye ujazo wa lita 300,000
eneo la Raskazone jijini Tanga Agosti 6, 2017
SHARE
No comments:
Post a Comment