TRA

TRA

Wednesday, August 23, 2017

WAJUMBE WA CHAMA CHA WABUNGE WANAWAKE BUNGE LA TANZANIA WAKUTANA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

 


PIC 1
Mwenyekiti Chama cha Wabunge Wanawake Bungeni Mhe Magreth Sitta  (katikati) akiongoza kikao wakati Wajumbe wa Chama  hicho walipokutana na Wajumbe wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Canada  katika Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam mapema leo.
PIC 2
Mwenyekiti  wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Canada  Mhe. Yasmin Ratansi (wa kwanza kulia) akizungumza  wakati Wajumbe wa Chama hicho kutoka Canada walipokutana na Wajumbe Chama cha Wabunge Wanawake katika Bunge la Tanzania  katika Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam mapema leo.
PIC 3
Mwenyekiti  wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Canada  Mhe. Yasmin Ratansi (wa kwanza (kushoto) akisisitiza jambo mbele ya Wajumbe Chama cha Wabunge Wanawake katika Bunge la Tanzania mara baada ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam mapema leo.
PIC 4
Wajumbe wa  Chama cha Wabunge Wanawake katika Bunge la Tanzania katika picha ya pamoja na Wajumbe wa   Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Canada mara baada ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.

Picha na Ofisi ya Bunge

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger