TRA

TRA

Tuesday, August 1, 2017

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA MTAMBO WA KUSAFISHA DHAHABU

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Makampuni ya  SUNSHINE GROUP, Betty Mkwasa wakati alipotembelea  mtambo wa kusafisha dhahabu wa Sunshine Mining Limited uliopo Chunya Agosti 1, 2017
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka  Dennis Dillip ambaye ni Mjiolojia  kuhusu mtambo wa kusafisha dhahabu wa kampuni  ya Sunshine Mining Limited uliopo Chunya wakati alipoutembelea Agosti 1, 2017
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla wakipata Maelezo kutoka kwa  Afisa  Madini wa Mkoa wa Mbeya Mhandisi Said Mkwawa kuhusu taarifa za  Kampuni ya Sunshine Gold Mininga Limited  wakati alipotembelea mtambo wa kusafisha dhahabu wa kampuni hiyo wilayani Chunya  Agosti 1, 2017
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia wimbo maalum unaozungumzia utendaji wa serikali ya  Awamu ya Tano ulioimbwa  na Kwaya maarufu ya Kiwete  katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri  Mkuu kwenye uwanja wa Sabsaba mjini Chunya Julai 1, 2017
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Sabasaba  mjiini Chunya Agosti 1, 2017.  Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Mbeya.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea Kigoda kutoka kwa Mbunge wa Lupa, Victor Mwambalaso ikiwa ni ishala ya kusimikwa kuwa Chifu wa makabila ya  Wasafa na Wakimbu katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Chunya Agosti 1, 2017.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger