

Afisa Misitu, Kekilia Kabalimu
akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya
Maliasili na Utalii kwenye maonesho ya Siku ya Wakulima yanayofanyika
katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.

Meneja wa Mawasiliano wa Wakala wa
Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Glory Mziray akisisitiza jambo kwa
wananchi waliotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye
maonesho ya Siku ya Wakulima yanayofanyika katika viwanja vya Ngongo
mkoani Lindi



Baadhi ya wanachi wakipewa
maelezo ya utaratibu wa kusafirisha vinyago kwenda nchi za nje
waliotembelea Banda la Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye maonesho ya
Siku ya Wakulima yanayofanyika katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi
SHARE
No comments:
Post a Comment