Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP
Simon Sirro akisalimiana na wananchi wa Mererani baada ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dk.John Magufuli kufungua barabara
ya kiwango cha lami cha kilometa 26 kutoka KIA hadi Mererani.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP
Simon Sirro akizungumza na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles
Mkumbo (kulia) na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro Hamisi Suleiman
katika uwanja wa ndege wa KIA wakati wakimsubiri Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe, Dk.John Magufuli.
Picha na Jeshi la Polisi
SHARE
No comments:
Post a Comment