TRA

TRA

Thursday, September 21, 2017

Waziri wa Sanaa na Utamaduni wa Afrika Kusini atembelea Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mjini Dodoma

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
 
Pic 1
Waziri wa Habari, Utamaduni ,Sanaa na Michezo Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) akishuhudia Waziri wa Sanaa na Utamaduni wa Afrika Kusini Mhe. Nathi Mthethwa(kushoto) akitia saini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika ofisi za Wizara hiyo leo Mjini Dodoma.
Pic2
Waziri wa Sanaa na Utamaduni wa Afrika Kusini Mhe. Nathi Mthethwa (katikati) akitia saini kitabu cha wageni alipotembelea makao makuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) jana mjini Dodoma, kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni , Sanaa na Michezo Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe na kushoto ni Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga.
Pic 3
Katibuwa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga (kushoto) akifafanuajambokwaWaziriwaHabari, Utamaduni , Sanaa na MichezoMhe.Dkt. Harrison Mwakyembe(kulia) pamojanaWaziri waSanaa na UtamaduniwaAfrikaKusini Mhe. NathiMthethwa(katikati) wakatiwaziarayakeMakaoMakuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Mjini Dodoma.
Pic 4
Waziri waSanaa na UtamaduniwaAfrikaKusini Mhe. NathiMthethwa(katikati)akiwa katika picha ya pamojana Waziri waHabari, Utamaduni ,Sanaa na MichezoMhe.Dkt. Harrison Mwakyembe(kushoto) nakulianiKatibuwa NEC Siasa na UhusianowaKimataifaKanali Mstaafu NgemelaLubinga, alipotembeleamakaomakuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mjini Dodoma.
Pic 5
Waziri waHabari, Utamaduni ,Sanaa na MichezoMhe.Dkt. Harrison Mwakyembe(wapilikulia) akiwa katika picha ya pamoja na Waziri waSanaa na UtamaduniwaAfrikaKusini Mhe. NathiMthethwa(katikati)nawatendajiwaWizara jana Mjini Dodoma.
 (Picha na Lorietha Laurence –WHUSM)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger