TRA

TRA

Tuesday, September 5, 2017

KAMATI YA MIUNDOMBINU YARIDHIA ITIFAKI ZA UMOJA WA POSTA DUNIANI

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

 

JPEG.1
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (aliyesimama) akiwasilisha Itifaki Nyongeza ya Tano hadi ya Tisa ya Umoja wa Posta Duniani (UPU) mbele ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu (hawapo pichani) ili iweze kuridhiwa na Kamati hiyo. Aliyevaa tai ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Eng. Edwin Ngonyani. Wasilisho hilo limefanyika mjini Dodoma.
JPEG.2
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Mhe. Moshi S. Kakoso (wa kwanza kulia) akiendesha kikao cha Kamati hiyo mjini Dodoma wakati Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na  mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani) akiwasilisha Itifaki Nyongeza ya Tano hadi ya Tisa ya Umoja wa Posta Duniani ili iweze kuridhiwa. Kushoto ni Katibu wa Kamati hiyo Bi. Hosiana John.
JPEG.3
Katibu Mkuu wa Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Eng. Maria Sasabo (aliyesimama) akitoa ufafanuzi kuhusu Itifaki Nyongeza ya Tano hadi ya Tisa ya Umoja wa Posta Duniani mbele ya Kamati ya Bunge ya Miundombinu mjini Dodoma.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger