TRA

TRA

Tuesday, September 5, 2017

SHIRIKA LA FOUNDATION FOR TOMORROW YATOA ZAWADI YA FEDHA MASHULENI

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
 

Mkurugenzi
wa shirika la Foundation for Tomorrow Melissa Queyquep akizungumza na wanafunzi
wa shele ya Sekondari Naura juzi jijini Arusha baada ya shirika hilo kudhamini shindano
la
kuwasaka wanafunzi bora katika masomo ya
Sayansi,Hesabu na Mawasiliano

Meneja Mafunzo ya stadi za Maisha Hilda Lema kutoka shirika la Foundation for
Tomorrowa kulia akiwa katika picha ya pamoja mara baaada ya kumkabidhi mwanafunzi wa shule ya sekondari Arusha day zawadi ya fedha na cheti baada ya kuibuka mshindi katika shindano la kuwatafuta
wanafunzi bora katika masomo ya
Sayansi,Hesabu na Mawasiliano

Mkuu wa wa
shule ya Sekondari Lemara Mkoani Arusha Risala S. Juma akiwa katika picha ya
pamoja na mwanafunzi wake wa kike kidato cha Nne shule ya Sekondari Lemara Victoria
Kira aliyefanya vizuri katika somo la Sayansi

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger