Mbunge Msukuma akamatwa na Polisi
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Geita, Joseph Msukuma ambaye pia ni Mbunge wa Geita Vijijini anashikiliwa na Jeshi la Polisi.
Taarifa
za awali zinaeleza kuwa Mbunge huyo anashikiliwa kwa kosa la kuongoza
wananchi hivi karibuni kuvamia Mgodi wa Dhahabu wa Geita.
No comments:
Post a Comment