Coolen Rooney ni mke wa staa wa club ya
Everton Wayne Rooney ambaye kwa juzi aliripotiwa kuingia matatani kwa
kuendesha gari akiwa amelewa, Coolen ambaye ni mama wa watoto watatu, kwa mujibu wa post yake anadaiwa alitoka na watoto wake.
Mke wa Rooney alitoka na watoto wake watatu wakiwa katika
gari lakini alihisi ama kugundua kuwa anafuatiliwa na wapiga picha ambao
kwa kiasi kikubwa wanadhaniwa kuwa ni mapaparazi, baada ya kuhisi hivyo
alitumia ukurasa wake wa twitter kuandika.
Tafadhari wapiga picha mnaweza kutuheshimu na kuacha kutufuatilia
mimi na watoto wangu watatu kwenye gari, hii ni
hatari”>>>Coolen Rooney Kama utakuwa unakumbuka vizuri Wayne
Roone na Coolen ambaye wamezaa nae watoto watatu, wanatarajiwa kupata
mtoto wa nne hiyo ni kwa mujibu wa post ya Wayne Rooney aliyopost wiki
kadhaa zilizopita kupitia katika ukurasa wake wa instagram. Wayne Rooney
na mkewa Coolen Rooney
No comments:
Post a Comment