TRA

TRA

Saturday, September 16, 2017

USIYO YAFAHAMU KUHUSU TUPAC SHAKUR

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
        1. kesi ya shambulio la kijinsia alilofanya Tupac huko New York ilikuwa ni kesi ya kwanza ya rap ya mahakama. 2.Neno lake la mwisho kulisema kabla ya kifo chake ni neon “F*ck you!” alilomuambia askari aliyemuuliza ni nini kilikuwa kimemtokea

3.Tupac Shakur alisaini kwenye studio ya Death Row ambayo kwa wakati huo ilikuwa studio ya moto na yenye hatari zaidi nchini Marekani na alifanikiwa kwa mara ya kwanza kuotoa CD mbili za hip hop kwa mpigo. 4.Kabla ya Shakur kuripoti gerezani kwa sababu ya unyanyasaji wake wa kijinsia, alikamilisha albamu yake kwanza.

5.Licha ya kuwa mwanafamilia nguli wa “west coast”, cha kushangaza ni kwamba tupac alizaliwa new york ambako ni east coast! 6. Alishakuwa na uhusiano na msanii Madonna uhusiano ambao ulivunjika kutokana na tupac kukashfiwa na watu weusi eti ni kwa nini awe na mpenzi mzungu!

7.Kwa mujibu wa gazeti la times, mahasimu wa tupac B.I.G na P.diddy walijua kuwa tupac angeuawa wiki moja kabla madai ambayo yalikanushwa na FBI. Meneja wa tupac suge knight pia ameshawahi kuhusishwa na kifo cha msanii huyu nguli wa hiphop! 8.Tupac Shakur ndiye mwandishi wa kwanza aliyekufa ambaye aliwafanya watu wafikiri yeye bado yu hai.

9.Kwenye wimbo wake wa “me and my girlfriend” anchozungumzia ni bunduki yake na si mpenzi wake kama inavyojulikana 10.Tupac Shakur alisaini kwenye studio ya Death Row ambayo kwa wakati huo ilikuwa studio ya moto na yenye hatari zaidi nchini Marekani na alifanikiwa kwa mara ya kwanza kuotoa CD mbili za hip hop kwa mpigo.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger