Habari kutoka Bungeni Dodoma ni kuhusu Wabunge wa Upinzani wamegoma kuingia ndani ya
ukumbi wa Bunge wakati Mkutano wa Nane wa Bunge la 11 ukiendelea kwa
madai kuwa hawakufurahishwa na maamuzi ya kufukuzwa Wabunge 8 wa Viti
Maalumu wa Chama cha Wananchi CUF.
Mkutano wa Nane wa Bunge la Jamhuri umeanza leo Mjini Dodoma na moja ya mambo yaliyopo kwente ratiba ya mkutano huo ni kuapishwa kwa Wabunge wapya 8 wa Viti Maalumu ambao wameteuliwa kuziba nafasi za Wabunge 8 wa Viti Maalumu waliofutwa CUF.

SHARE
No comments:
Post a Comment