• About
  • Services
  • Products
  • Blog
  • Contact Us

NCHI YANGU

Menu
  • Home
  • Lifestyle
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
    • Sub Menu 1
      • Sub Menu 1
      • Sub Menu 2
      • Sub Menu 3
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Post
  • Fitness
  • Music
  • Travel
  • Politics
  • Beauty

TRA

TRA

Saturday, September 2, 2017

Home > > Wanafunzi 7 wafariki katika moto uliochoma bweni Kenya

Wanafunzi 7 wafariki katika moto uliochoma bweni Kenya

at 3:39 AM
Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Wanafunzi saba wamefariki na makumi wengine wakijeruhiwa baada ya moto kuchoma bweni la shule ya Moi Girls mjini Nairobi.
Waziri wa elimu Fred Matiang'i amesema kuwa wanafunzi wengine 10 walijeruhiwa na wamelazwa hospitalini.

Wawili kati ya 10 wako katika hali mbaya ,kulingana na madaktari huku wengine wanane wakiwa hawako katika hali mbaya.

Takriban wanafunzi 10 wamerodheshwa kuwa hawajulikani waliko kulingana na kitengo cha habari cha maafisa wa msalaba mwekundu katika shule hiyo. 

Matiang'i amesema kuwa shule hiyo imefungwa kwa wiki mbili huku uchunguzi ukianzishwa kuhusiana na sababu ya moto huo.

 Maafisa wa polisi wakishika doria nje ya shule ya Moi Girls liliopo jijini Nairobi nchini Kenya

Waziri huyo hatahivyo amesema kuwa wanafunzi wa kidato cha nne wataendelea na masomo yao ifikiapo siku ya Ijumaa na watasaidiwa kuendelea na masomo yao wakati ambapo wanajianda kufanya mtihani wa kidato cha nne wa KCSE.

Amesema kuwa kundi la wataalam wa upasuaji ikiwemo madaktari wako katika shule hiyo kubaini chanzo cha moto huo.
Amesema kuwa mkuu wa shule hiyo amewataka wazazi kuwachukua wanawao.

Bwana Matiang'i aliandamana na gavana wa Nairobi Mike Sonko.
Kulingana na gazeti la Daily Nation nchini humo mwanafunzi mmoja wa kidato cha kwanza ambaye alikuwa miongoni mwa wale waliotibiwa baada ya kisa hicho alisema kuwa moto huo ulianza mwendo wa saa saba usiku.
Alisema kuwa bweni lililochomeka lilikuwa na wanafunzi wa kidato cha kwanza na kwamba kulikuwa na makelele ya wanafunzi waliojaribu kujinusuru mbalii na mkanyagano huku wasichana wakijaribu kutoka ndani ya bweni hilo.

CHANZO: BBC
Unknown

Author: Unknown

SHARE
  • Share
  • Tweet
  • Share
  • Pin
  • Share
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Fourni par Blogger CodeEnvoyer par emailBlogThis !Partager sur TwitterPartager sur FacebookPartager sur LinkedInÉpingler sur PinterestPartager sur StumbleUponVoter pour cet article sur HelloCoton

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Tupate kupitia Facebook

Popular Posts

  • WAZIRI NAPE AONGOZA MAMIA KATIKA SIKU YA KIMATAIFA YA YOGA, JIJINI DAR ES SALAAM
     Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye. akiwa katika mkao wa kusafisha kichwa unaojulikana kwa lugha ya Y...
  • ANGALIA KAMANDA WA POLISI MKOA WA POLISI KINONDONI
    Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakifanya mazoezi leo Agosti 12, 2017 jijini Dar es salaam, baada ya kumaliza matembezi y...
  • NEEC FANYENI TATHMINI YA KISAYANSI KUHUSU MANUFAA YA MIFUKO YOTE YA UWEZESHAJI-MAJALIWA
    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkurugenzi wa manispaa ya Dodoma, Bw. Godwin Kunambi (wapili kushoto) hundi ya Shilin...

Popular Posts

  • WAZIRI NAPE AONGOZA MAMIA KATIKA SIKU YA KIMATAIFA YA YOGA, JIJINI DAR ES SALAAM
    WAZIRI NAPE AONGOZA MAMIA KATIKA SIKU YA KIMATAIFA YA YOGA, JIJINI DAR ES SALAAM
     Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye. akiwa katika mkao wa kusafisha kichwa unaojulikana kwa lugha ya Y...
  • ANGALIA KAMANDA WA POLISI MKOA WA POLISI KINONDONI
    Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakifanya mazoezi leo Agosti 12, 2017 jijini Dar es salaam, baada ya kumaliza matembezi y...
  • NEEC FANYENI TATHMINI YA KISAYANSI KUHUSU MANUFAA YA MIFUKO YOTE YA UWEZESHAJI-MAJALIWA
    NEEC FANYENI TATHMINI YA KISAYANSI KUHUSU MANUFAA YA MIFUKO YOTE YA UWEZESHAJI-MAJALIWA
    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mkurugenzi wa manispaa ya Dodoma, Bw. Godwin Kunambi (wapili kushoto) hundi ya Shilin...
  • WALIOSOMA KILAKALA SEKONDARI WACHANGISHANA FEDHA , WAKARABATI JENGO LA ZAHANATI , WANUNUA SHUKA NA MAGODORO , MADAFTARI
    WALIOSOMA KILAKALA SEKONDARI WACHANGISHANA FEDHA , WAKARABATI JENGO LA ZAHANATI , WANUNUA SHUKA NA MAGODORO , MADAFTARI
    WAHITIMU waliosoma Shule ya Sekondari  Kilakala   , iliyopo mkoani Morogoro wameombwa kujitokeza kuunga mkono mpango wa Serikali wa...
  • WENGI WAJIUNGA NA MFUMO WA ‘WOTE SCHEME’ WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF KATIKA MAONESHO YA SABASABA
    WENGI WAJIUNGA NA MFUMO WA ‘WOTE SCHEME’ WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF KATIKA MAONESHO YA SABASABA
      Maafisa wa Mfuko wa PPF, wakitoa elimu kwa wananchi waliotembelea Banda hilo kuhusu Mfumo wa ‘Wote Scheme’ katika maonesho ya 40 ...
  • Magazeti ya leo

Pages

  • Home
  • About Us
  • Contat Us
 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger