T
Naibu
Mkurugenzi Rasilimali Watu wa Mamlaka hiyo, Bw. Ulimbakisya Masomelu akiwaeleza
Waajiriwa wapya wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) juu ya kuwa waadilifu na
kutekeleza majukumu yao kikamilifu wakati wa Semina Elekezi ya Siku Kumi
iliyoanza 08 Novemba, 2017 katika Chuo cha Kodi (ITA) Kilichopo Jijini Dar
es Salaam.
Waajiriwa
wapya 400 walioajiriwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakipokea elimu ya
Semina Elekezi toka kwa Maafisa Utumishi wa TRA kuhusu namna ya kutekeleza
majukumu yao kwa weledi wakati wa ufunguzi wa Semina hiyo ya Siku Kumi
iliyoanza leo katika Chuo cha Kodi (ITA) kilichopo Jijini Dar es Salaam, 08
Novemba, 2017.

Novemba, 2017.(PICHA ZOTE NA BENEDICT
LIWENGA,TRA)
SHARE

No comments:
Post a Comment