Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Mh. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 09 November 2017 ametengua
uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Tunduru Bwana Abdallah Hussein Mussa
kwa kushindwa kumudu majukumu yake.
Hivi karibuni alimtumbua Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba, Erasto Mfugale na Mkurugenzi wa Halmashauri ya ya Bukoba Vijijini, Mwantum Dau kwa kushindwa kumweleza kiasi cha fedha za mfuko wa barabara walichopata kwenye halmashauri zao.
SHARE










No comments:
Post a Comment