Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Mkuchika (kulia)
akimsikiliza mgeni wake Balozi wa China nchini Tanzania Mhe. Wang Ke
(katikati) wakati balozi huyo alipomtembelea Waziri Ofisini kwake
mapema hii leo Jijini Dar es Salaam.
Picha na Eliphace Marwa – Maelezo
SHARE








No comments:
Post a Comment