TRA

TRA

Monday, December 11, 2017

Wafanyakazi Wa Benki Ya NMB Wasaidia Watoto Wenye Ulemavu

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

Kiongozi wa kundi la wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Rasilimali watu, Paschal Itangaja (kushoto) akikabidhi sehemu ya msaada wa bidhaa mbalimbali walizozitoa kwa kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu cha Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko cha jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa msaada waliokabidhi kwa watoto hao wasioona na kusikia ni pamoja na biadhaa za mashuka, vyakula (mchele unga), mafuta ya kupikia, sabuni vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni mbili.

Wafanyakazi wa Kitengo cha Rasilimali watu wa Benki ya NMB wakitoa msaada katika kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu cha Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko cha jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa msaada waliokabidhi kwa watoto hao wasioona na kusikia ni pamoja na biadhaa za mashuka, vyakula (mchele unga), mafuta ya kupikia, sabuni vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni mbili.

Wafanyakazi wa Kitengo cha Rasilimali watu wa Benki ya NMB wakitoa msaada katika kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu cha Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko cha jijini Dar es Salaam.

Mwalimu Asha Mfaume wa kituo cha watoto wenye mahitaji maalumu cha Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko cha jijini Dar es Salaam akiwashukuru Wafanyakazi wa Kitengo cha Rasilimali watu wa Benki ya NMB mara baada ya msaada walioutoa.

Kiongozi wa kundi la wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Rasilimali watu, Paschal Itangaja (kushoto) akizungumza katika hafla hiyo.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger