TRA

TRA

Sunday, January 21, 2018

MBUNGE WA CHALINZE MH. RIDHIWANI KIKWETE AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


r3
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akimsikiliza  Shedeli Mikole Mwenyekiti wa CCM kata ya Vigwaza wakati akiwa katika ziara ya kikazi kukagua huduma za maendeleo na miradi mbalimbali inayotekelezwa jimboni humo, Mh. Ridhiwan Kikwete ametembelea kata na vijiji vya Visezi, Buyuni , kata ya Vigwaza. na Magulumatari, Kisanga Kata ya Talawanda, Bago na Msinune  kata ya Kiwangwa.
r1
Sehemu ya Bidhaa zinazotengenezwa na vikundi vya Kimaendeleo. Kikundi cha Jipe Moyo ambacho ni moja kati ya vikundi vilivyofaidika na fursa za Mitaji Katika Halmashauri na  Mfuko wa Jimbo  ambao upo chini ya Mbunge wa Chalinze wakionyesha kazi zinazotokana na Mikono yao mbele ya Mbunge.
r2 
Mmoja wa wananchi akizungumza mbele ya Mh. Ridhiwani Kikwete mbunge wa jimbo la Chalinze .
r4
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akikagua Nguzo za umeme zipatazo 60 katika  Kijiji cha Visezi. ambazo zipo hapo toka mwaka 2015 sasa ni miaka miwili toka  Zilipoletwa hadi leo hazijaunganishwa. Serikali kupitia mradi wa Peri-Urban Enlightment Initiative watakuja waunganishia wananchi wa Visezi.
r5
Baadhi ya wananchi wakiwa katika mkutano wa Mh. Ridhiwani Kikwete Mbunge wa jimbo la Chalinze.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger