Mchezaji mpya wa
klabu ya Manchester United Alexis Sanchez amehukumiwa jela miezi 16
kutokana na kosa la kukwepa kulipa kodi.
Hukumu hiyo imetolewa
jana ,Sanchez anadaiwa kukwepa kulipa kodi wakati alipokuwa nchini
Uhispania ambapo mamlaka nchini humo zinasema anadaiwa kiasi cha pauni
laki tisa.Kwa mujibu wa sheria za Hispania, hukumu ya kosa hilo haizidi miaka miwili jela, lakini badala yake kulipa pauni 525,000 kutokana na kosa ambalo alilifanya miaka mitatu alipokuwa akichezea klabu ya Barcelona.
- Alexis Sanchez aisaidia Man United kushinda huku ManCity ikizuiwa
- Sanchez atua Manchester United
- Mourinho: Sanchez ameleta 'class' na ukomavu Manchester United
CHANZO: BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment