TRA

TRA

Tuesday, February 6, 2018

MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AKUTANA NA KATIBU WA BUNGE

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

IMG-20180206-WA0000[1]
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk.Adelardus Kilangi jana   Jumanne amemtembelea  Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Stephen Kigaigai kwaajili ya  kujitabulisha.  Katika  mazungumzo yao, viongozi hao wawili wamesisitiza haja na umuhimu wa   Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali  na Bunge kuendelea  kushirikiana ipasavyo na kufanya  kazi kwa karibu. Picha kwa hisani ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger