Naibu
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akielekea
kukagua mpaka wa Tanzania na Kenya eneo la Namanga wilaya ya Longido
mkoa wa Arusha.
Naibu
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akipata
maelezo kutoka kwa Ofisa wa TRA aliyeko katika kituo cha Huduma za Pamoja Mipakani (OSBC) Paul Kamkulu kuhusu huduma zinazotolewa katika kituo hicho kilichopo eneo la Namanga mpaka wa Tanzania na Kenya.
Waziri
wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi akipata maelezo kutoka kwa
mkurugenzi msaidizi Upimaji vijijini wa wizara Huruma Lugalla (wa pili
kulia) wakati akikagua mpaka wa Tanzania na Kenya eneo la Namanga wilaya
ya Longido mkoa wa Arusha.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akitoa maelekezo kwa ujumbe alioambatana nao wakati wa kukagua mpaka wa Tanzania na Kenya eneo la Namanga wilaya ya Longido mkoa wa Arusha.
Naibu
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula na ujumbe
wake wakitembea eneo la ardhi huru kuelekea ilipo alama ya mpaka baina
ya Tanzania na Kenya Namanga mkoani Arusha.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akiwa
amemshika Ngamia aliyemkuta eneo la mpaka wa Tanzania na Kenya wakati
alipokuenda kukagua mpaka baina ya Tanzania na Kenya.
SHARE
No comments:
Post a Comment