Meneja TRA Mkoa wa Mara Edson Edwin Issanya akiongea na waandishi wa
habari kipindi wakitoa msaada wa bidhaa zilizokamatwa na TRA Sirari kwa
Muda Mrefu na sasa wameamua kugawia taasisi 13 zikiwemo za kulea wazee,
watoto yatima, Hospitali, na Shule.
Edwin
ametumia pia fursa hiyo kuwataka wafanyabiashara wote mkoa wa mara
kutumia mashine za kieletronic EFDs ili serikali isiweze kupoteza mapato
huku akisisitiza wateja pale wanaponunua bidhaa kudai risti.
ametumia pia fursa hiyo kuwataka wafanyabiashara wote mkoa wa mara
kutumia mashine za kieletronic EFDs ili serikali isiweze kupoteza mapato
huku akisisitiza wateja pale wanaponunua bidhaa kudai risti.
Tazama Video hapa chini akitoa msisitizo huo.
SHARE
No comments:
Post a Comment