Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na mkewe Mary Majaliwa wakiwasalimia
wananchi, wakati wakiwasili katika viwanja vya michezo vya sabasaba
vilivyopo Newala mjini, Februari 28, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa akizungumza na wananchi
wa Newala mjini, katika viwanja vya michezo vya sabasaba vilivyopo
Newala mjini, Februari 28, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akipokea zawadi ya bakora,
kutoka kwa mzee Mohammed Abeid Liyanga, anaye wawakilisha wazee wa
Newala, katika viwanja vya michezo vya sabasaba vilivyopo Newala mjini,
Februari 28, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Newala Mjini, katika viwanja vya michezo vya sabasaba vilivyopo Newala mjini, Februari 28, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Newala Mjini, katika viwanja vya michezo vya sabasaba vilivyopo Newala mjini, Februari 28, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimkabidhi mashine ya kubangulia korosho, Aziza Juma, katika viwanja vya michezo vya sabasaba vilivyopo Newala mjini, Februari 28, 2018
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimkabidhi mashine ya kubangulia korosho, Halima Maulid, katika viwanja vya michezo vya sabasaba vilivyopo Newala mjini, Februari 28, 2018.
SHARE
No comments:
Post a Comment