From
#jokatemwegelo - Wiki iliyopita nilialikwa kuhudhuria shughuli za NBA
Afrika katika NBA All Star Weekend- weekend inayojumuisha wachezaji top (
creme de la creme ) wa kwenye ligi ya NBA ya Marekani, ambapo katika
hiyo weekend siku ya Jumamosi tukazindua NBA Afrika Game ya 2017.
Nilipata
mualiko huo kutokana na juhudi zangu binafsi za ujenzi wa kiwanja cha
mchezo pale Jangwani Secondary. Na lengo ni kujenga viwanja vingi na
kufanya vitu vingi vya kuboresha maeneo ya mashule ya umma. Tutengeneze
watoto na vijana wenye uweledi, kujitambua na ujasiri.
SHARE
No comments:
Post a Comment