May 2, 2017 niliripoti kuhusu stori ya Binadamu anayetajwa kuwa na umri
mkubwa zaidi Tanzania ambaye inasadikika alizaliwa mwaka 1890 akijulikana kwa jina la Ambilikile Panja anayeishi Wilaya ya Mbozi katika Mkoa mpya wa Songwe.
Sasa good news ni kwamba Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku Galawa amemkabidhi mzee huyo Wheel Chair pamoja na Bima za Afya yeye na mke wake.
SHARE
No comments:
Post a Comment