Roger Federer mshindi mara nane wa michuano ya wazi ya Wimbledon Roger Federer mshindi mara nane wa michuano ya wazi ya Wimbledon
Mchezaji namba
tano kwa ubora wa mchezo tenesi Roger Federer ameweka historia ya kuwa
mchezaji wa kwanza kutwaa taji la michuano ya Wimbledon, kwa mara nane.
Katika seti ya kwanza bingwa huyu wa kihistoria alishinda kwa 6-3, kisha akashinda kwa 6-1 na kumaliza kwa 6-4, katika mchezo ulichezwa kwa muda wa saa moja na na dakika 41.
Hili ni taji la 19 la Grand Slam, kwa mchezaji huyu raia wa Switzerland, na kuwa mchezaji mkubwa zaidi kutwaa mataji yote ya michuano ya wazi ya England.
CHANZO: BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment