Waziri
wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt, Harrison Mwakyembe (kulia) akiongea na
Waandishi wa Habari kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu Sheria ikiwemo
majumuisho ya ziara yake aliyoifanya hivi karibuni. Kushoto ni Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo
Profesa Sifuni Mchome pamoja na Naibu Katibu Mkuu wake Bwana Amon
Mpanju, leo 5 Januari, 2016 Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa mashtaka Biswalo Mganga akieleza mbele ya Waziri wa Katiba na
Sheria, Mhe. Harrison Mwakyembe (kushoto) pamoja na Waandishi wa Habari
(hawapo pichani) moja ya kazi walizozifanya ikiwemo kuwashataki
waliopatikana na hatia ya madawa ya kulevya pamoja na uchomaji wa moto
madawa hayo yaliyokamatwa kwa mwaka uliopita wa 2015 wakati walipokutana
na Waandishi wa Habari leo 5 Januari, 2016 Jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Waandishi wa Habari wakifuatilia taarifa toka Waziri wa Katiba na
Sheria pamoja na Mkurugenzi wa Mashtaka (hawapo pichani) leo 5 Januari,
2016 Jijini Dar es Salaam.
SHARE
No comments:
Post a Comment