Waziri Mkuu, Kassim Majliwa
akitia saini kitabu cha Maombolezo ya kifo cha Mbunge wa zamani,Leticia
mageni Nyerere wakati alipokwenda kumhani mjane wa Baba wa taifa, Mama
Maria Nyerere Msasani jijini Dar es salaam Januari 12, 2016. (Picha na
ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitoa neno la faraja kwa Mjane wa baba wa taifa Mama Maria Nyerere
(kulia) wakati alipokwenda nyumbani kwa Baba wa taifa, Msasani jijini
Dar es salaam kuhani msiba wa Mbunge wa zamani Leticia Nyerere. Kushoto
ni mkewe Mary. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
Mkewe Mary (wapili kulia) wakiifariji familia ya Mjane wa Baba waTaifa,
Mama Maria Nyerere (kulia) wakati walipokwenda nyumbani kwa Baba wa
taifa Msasani jijini Dar es salaam kuhani msiba wa mbunge wa zamani,
Leticia Nyerere, Januari 12, 2016. Kushoto ni mtoto wa baba wa Taifa,
Rose Nyerere na wapili kushoto ni Waziri Mkuu Mstaafu, Joseph
Warioba.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
mkewe Mary (kulia) wakiagana na mjane wa Baba wa taifa, Mama Maria
Nyerere wakati walipokwenda nyumbani kwa Baba wa taifa, Msasani jijini
Dar es salaam Januari 12, 2016 kuhani msiba wa Mbunge wa zamani, Leticia
Nyerere. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
mkewe Mary wakiwa katika picha ya pamoja na Mjane wa baba wa taifa
Mama Maria Nyerere (kushoto kwa Waziri Mkuu) baada ya kuhani msiba wa
mbunge wa zamani, Leticia Nyerere, Msasani jijini Dar es slaam Januari
12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
SHARE
No comments:
Post a Comment