Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipigiwa Wimbo wa Taifa katika kilele
cha Sherehe za kutimiza Miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
zilizofanyika katika uwanja wa Amani, Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia mamia ya wananchi (hawapo
pichani) katika kilele cha Sherehe za kutimiza Miaka 52 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifuatilia kwa makini matukio
mbalimbali katika kilele cha Sherehe hizo za miaka 52 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar katika uwanja wa Aman.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein katika Sherehe
hizo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt.
Ali Mohamed Shein wakiangalia gwaride la heshima lililokuwa likipita
mbele yao katika kilele cha Sherehe za kutimiza Miaka 52 ya Mapinduzi
matukufu ya Zanzibar.
Vikosi vya Majeshi ya Ulinzi na Usalama vikitoa heshima mbele ya Mgeni Rasmi.
Vikosi vya Majeshi ya Ulinzi na Usalama vikitoa heshima mbele ya Mgeni Rasmi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.
John Pombe Magufuli akiondoka kwenye Uwanja wa Aman, Zanzibar mara baada
ya kumalizika kwa Sherehe za Miaka 52 ya Mapinduzi matukufu ya
Zanzibar.PICHA NA IKULU
SHARE
No comments:
Post a Comment