Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kulia)
akikaribishwa kwenye kituo cha utamaduni wa Kisukuma Bujora na Mlezi na
Mshauri wa kituo cha utamaduni pamoja na machifu wa Kisukuma Jaji
Mstaafu Mark Bomani
Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (katikati)
akizungumza na Machifu wa kisukuma kwenye kituo cha Utamaduni Bujora,
kulia pichani ni Jaji Mstaafu Mark Bomani na kushoto ni Chifu Charles
Kafipa wa Bukumbi mkoani Mwanza
Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelezo
juu ya nyumba za asili za wasukuma kutoka kwa Mkurugenzi wa kituo cha
Utamaduni wa Kisukuma Padri Fabian Mhoja.
Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia hesabu
za kisukuma kwenye kituo cha Bujora mkoani Mwanza.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment