Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkurugenzi wa Ofisi ya Baraza la Mji Mkoani Pemba Issa Juma Othman (kulia) na Mkuu wa Wilaya ya
Mkoani
Hemedi Rashid wakati alipotembelea leo miradi ya ujenzi wa Vidaraja
(Steps)Kikwajuni Skuli ya Ng’ombeni vilivyojengwa na Kampuni ya ZECCON
CO.LTD ya Zanzibar ikiwa katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Ofisi ya Baraza la Mji Mkoani Pemba Mkoa wa Kusini Pemba Issa Juma Othman wakati alipotembelea maendeleo ya ujenzi wa mitaro ya maji ya mvua kutoka Mikarafuuni hadi Mpika Tango leo iliyojengwa na Kampuni ya ZECCON CO.LTD ya Zanzibar ikiwa katika shamra shamra za miaka 52 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Ofisi ya Baraza la Mji Mkoani Pemba Mkoa wa Kusini Pemba Issa Juma Othman
wakati
alipotembelea maendeleo ya ujenzi wa Ofisi ya Baraza la Mji Mkoani leo
inayojengwa na Kampuni ya ZECCON CO.LTD ya Zanzibar ikiwa katika shamra
shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar
Mkandarasi wa Kampuni ya ZECCON CO.LTD ya Zanzibar Ali Mbarouk akitoa maelezo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipotembelea miradi ya ujenzi
wa
Vidaraja (Steps)Kikwajuni Skuli ya Ng’ombeni na mitaro ya maji ya mvua
kutoka Mikarafuuni hadi Mpika Tango leo ikiwa katika shamra shamra za
miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Mkurugenzi
wa Ofisi ya Baraza la Mji Mkoani Pemba Issa Juma Othman na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid
[Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na wananchi wa Mkoani Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo baada ya kutembelea maendeleo ya
miradi
wa ujenzi wa Vidaraja (Steps)na mitaro ya maji ya mvua iliojengwa na
Kampuni ya ZECCON CO.LTD ya Zanzibar ikiwa katika shamra shamra za miaka
52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na wananchi wa maeneo ya Chachani- Minanzini Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba leo baada ya
kutembelea
maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Vidaraja (Steps) uliojengwa na Kampuni
ya NOWE INVESTMENT CO.LTD ya Dar es Salaam,ikiwa katika shamra shamra
za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba Mwanajuma Majid(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohamed Aboud Mohammed(wa pili kulia) na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Joseph Meza wakielekea kutembelea Ofisi ya Baraza la Mji wa Chake chake inayofanyia matengenezo Kampuni ya NOWE INVESTMENT CO.LTD ya Dar es Salaam,ikiwa katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkandarasi wa Kampuni ya NOWE INVESTMENT CO.LTD Elimeka Shumu (kushoto) inayofanyia
matengenezo
Ofisi ya Baraza la Mji wa Chake chake wakati alipotembelea maendeleo
ya ujenzi huo leo Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba ikiwa
katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mohamed Aboud Mohammed
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akitoa ushauri kwa Mkandarasi wa Kampuni ya NOWE INVESTMENT CO.LTD inayojenga Machinjio ya Ngo’mbe Elimeka
Shumu(wa
tatu kulia) wakati alipotembelea machinjio hayo leo Wesha Wilaya ya
Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba ikiwa katika shamra shamra za miaka 52
ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohamed Aboud Mohammed,[Picha na Ikulu.]
SHARE
No comments:
Post a Comment