TRA

TRA

Monday, February 1, 2016

Breaking news, mwakyembe mtegoni

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


SAKATA la mabehewa limechukua sura mpya baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Jesca Kishoya (Chadema), kumng’ang’ania bungeni Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe.

Hatua hiyo imekuja baada ya mbunge huyo kusema Mwakyembe anahusika kufanya ununuzi wa mabehewa mabovu yaliyosababishia Serikali hasara ya sh. bilioni 200.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger