Mkurugenzi
Mtendaji wa Mfuko wa Mendeleo ya Jamii (TASAF) Bw. Ladislaus Mwamanga
akiwasilisha mada ofisini kwake wakati wa kikao na Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa.
Waziri wa
Nchi,Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb)
akitoa mchango wake wakati wa kikao kati ya Tume ya Utumishi wa Umma na
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa
kilichofanyika ofisi za Tume mapema leo.
Waziri wa
Nchi,Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb)
akifuatilia mada wakati wa kikao kati ya Tume ya Utumishi wa Umma na
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa
kilichofanyika ofisi za Tume mapema leo.
Mwenyekiti
wa Tume ya Utumishi wa Umma Jaji Mstaafu Bw.Steven Bwana (wa pili
kutoka kulia) akieleza baadhi ya changamoto za kazi kwa wajumbe wa
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa ilipofika
ofisini kwake leo.
Mmoja wa
wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa
Mhe. Ruth Mollel (Mb) akitoa mchango wake wakati wa kikao katika ofisi
za Tume ya Utumishi wa Umma na Kamati hiyo kilichofanyika mapema leo
. Mmoja
wa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa
akitoa mchango wake wakati wa kikao kati ya Tume ya Utumishi wa Umma na
Kamati hiyo kilichofanyika ofisi za Tume mapema leo
Waziri wa
Nchi,Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki (Mb)
akitoa mchango wake wakati wa kikao kati ya Tume ya Utumishi wa Umma na
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa
kilichofanyika ofisi za Tume mapema leo.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment