Mkurugenzi
wa kampuni ya Jaffery Industry Saini LTD Ndg. Vinshal Singh Saini
akitoa maelezo juu ya hatua iliyofikiwa katika ufugaji meza mpya katika
ukumbi wa Bunge kwa Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah (mwenye
miwani) alipotembelea kujionea hatua ya ukarabati wa Jengo la Bunge
ilipofikiwa.
Katibu
wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akijaribisha kukaa katika moja wapo ya
kiti kilichofungwa katika meza mpya kwenye ukumbi wa Bunge. Kulia kwake
ni Mkurugenzi wa kampuni ya Jaffery Industry Saini LTD Ndg. Vinshal
Singh Saini akimpa maelezo juu ya namna viti na meza hizo vitakavyokuwa
vinatumika baada ya kukamilika.
Mwonekano wa Meza Mpya zilizofungwa katika Ukumbi wa Bunge.
Ukaguzi unaendelea.
Katibu
wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa
kampuni ya Jaffery Industry Saini LTD Ndg. Vinshal Singh Saini mara
inayofunga meza mpya katika ukumbi wa Bunge maada ya kukagua ukarabati
wa Jengo la Bunge.
SHARE
No comments:
Post a Comment