Mtoa mada
kuhusu Huduma kwa mteja Bi. Joy Nyabongo akiwafunza maafisa habari na
mawasiliano wa Serikali kuhusu jinsi gani ya kutoa huduma nzuri kwa
wateja wao wanapokuwa katika vituo vyao vya kazi.
Mtoa mada
kuhusu Huduma kwa mteja Bi. Joy Nyabongo akigawa moja ya DVD kwa afisa
habari wa TFDA Bi.Gaudensia Simwanza kwa ajili ya kumsaidia katika
utendaji wa kazi yake.DVD izo zina mafunzo mbalimbali yanayousu
kumhudumia vyema mteja.
Mtaalamu
wa masuala ya Itifaki Balozi Chilambo(aliyesimama) akitoa mada kuhusu
itifaki kwa maafisa mawasiliano na habari wa serikali watakapokuwa
katika majukumu ya kiserikali.
Afisa
Habari wa jiji la Mwanza Bw.Kaaya Elirehema Mosses akichangia jambo
wakati wa kikao kazi cha maafisa habari wa serikali kinachofanyika
jijini mkoani Morogoro.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment