Mganga
Mkuu wa Serikali, Profesa Muhammad Bakari akiwashukuru wadau hao
wakiwamo mabalozi kutoka Israel na Ujerumani na wadau wengine kwa
misaada mbalimbali wanayoitoa katika taasisi hiyo. jana Profesa Bakari
amewataka madaktari na wauguzi wa taasisi hiyo kutumia vizuri nafasi
mbalimbali za mafunzo kutoka kwa wadau hao wa afya.
Naibu
Balozi wa Israel, Nadar Peldman akizungumza na madaktari, wauguzi na
wadau mbalimbali wa sekta ya afya baada ya kuwatembelea watoto
waliofanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete
(JKCI) iliyopo Muhimbili. Jana watoto wanne walifanyiwa upasuaji na
jana watoto sita wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji kwenye taasisi hiyo.
Kulia ni
Naibu Balozi wa Ujerumani, John Reyels akizungumza jana na Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa
Mohamed Janabi (kushoto) baada ya naibu balozi huyo kuwatembelea watoto
waliofanyiwa upasuaji wa moyo jana. Katikati ni Rais wa Rotary Club
jijini Dar es Salaam, Zainul Dossa.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment