Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akifanya Mazungumzo na Katibu
Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue, Ikulu Jijini Dar es salaam
jana. Kushoto ni Katibu Mkuu Ikulu, Peter Ilomo.
Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akikaribishwa Ofisini kwake na
Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue, Ikulu Jijini Dar es
salaam jana.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akiwasili Ikulu Jijini Dar es salaam jana.
Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akizungumza na Baadhi ya Madereva
wa Ikulu, wakati akiwa katika ziara ya kutembelea maeneo mbali mbali ya
Ikulu, Jijini Dar es salaam jana.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment