Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Bia Serengeti (SBL), Helene Weesie (katikati) akiteta
jambo na Mkurugenzi Mkazi msaidizi, AMREF Health Africa, Dk. Rita Noronha
(kulia) wakati wa hafla fupi ya makubaliano ya kutekeleza miradi ya maji katika
vijiji vya Ngarenairobi na Makanye wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro jijini Dar
es Salaam. SBL itafadhili miradi hiyo
inayotarajiwa kufaidisha wakazi 635,000 katika vijiji hivyo. Kushoto ni Meneja wa Miradi Endelevu wa SBL, Hawa
Ladha.
SHARE
No comments:
Post a Comment