Padri
Honest Munishi akiongoza misa ya kumbukumbu ya marehemu James Luhanga Jr
iliyofanyika siku ya Jumamosi March 19, 2016 katika kanisa la Mt.
Edward Baltimore, Maryland nchini Marekani. Marehemu James Luhanga Jr
alifariki Februari 3, 2016 mkoani Iringa. Picha na Vijimambo Blog/
kwanza Production.
Ndugu wa marehemu wakipeleka matoleo ya sadaka ya misa ya kumbukumbu ya mpendwa wao James Luhanga Jr.
Wanafamilia
wakifuatilia misa ya kumbukumbu ya mpendwa wao marehemu James Luhanga
Jr. iliyofanyika siku ya Jumamosi March 19, 2016 Baltimore, Maryland
nchini Marekani.
Wanafamilia
wakifuatilia misa ya kumbukumbu ya mpendwa wao marehemu James Luhanga
Jr. iliyofanyika siku ya Jumamosi March 19, 2016 Baltimore, Maryland
nchini Marekani.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment