Msafara wa Mh Naibu Waziri wa TAMISEMI JAFFO umepata Ajali mbaya Na Watu kadhaa wapoteza Maisha
Naibu
waziri TAMISEMI Mh Selemani Jafo Amepata Ajali ktk Msafara wake huko
Mapinga Magamoyo Baada ya Roli kugonga Magari Matatu yakiyokuwa mbele
yake ktk Msafara Wake!
Na
Waliofariki ni Maafisa toka Halmashauri ya Bagamoyo! watu kadhaa
wamefariki papo hapo na Majeruhi kadhaa ambao Wamekimbizwa Hospitali
kwa Sasa!
Naibu waziri Yeye yuko Salama na Ndio anashughulikia Kufanya uokozi katika eneo la ajali na kukwamua baadhi ya majeruhi hao
Chanzo
cha Ajali hii ni Uzembe wa Dereva wa Gari Dogo na Mtu wa Roli Kubwa
Kuover Take ktk Mlima na Msafara ukiwa Unakuja Mbele licha yakuwa Tayali
Mbele Gari ya Asali kuashiria Msafara unakuja lakini Madereva hawa
Walitoka kuwahi na kusababisha Ajali ambayo imepoteza Uhai wa watu,
Kuumiza watu nakuharibu Mali za Serikali
SHARE
No comments:
Post a Comment