Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipata maelezo
ya kutoka kwa Mkurgenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Bw.
Clement Mshana (kushoto)mara baada ya kutembelea maeneo ya TBC yaliyopo
Themi na Themi Hill mkoani Arusha na kujionea mitambo ya TBC na ile
iliyokuwa ya Radio Tanzania .
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia
mitambo iliyokuwa ya Radio Tanzania kwenye nyumba iliyokuwa ikitumika
kurusha matangazo, Themi mkoani Arusha.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akionyeshwa
moja ya eneo la TBC mkoani Arusha na Mkurgenzi wa Shirika la Utangazaji
Tanzania (TBC)Bw. Clement Mshana
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akizungunmza na
Mkurgenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC)
Bw. Clement Mshana mara baada ya kutembelea eneo la TBC lililopo Themi mkoani Arusha,katikati ni Mkuu wa Kanda wa Shirika la Utangazaji TBC Ndugu Christopher Mkama
Bw. Clement Mshana mara baada ya kutembelea eneo la TBC lililopo Themi mkoani Arusha,katikati ni Mkuu wa Kanda wa Shirika la Utangazaji TBC Ndugu Christopher Mkama
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiangalia
baadhi ya mitambo ya zamani ya kurushia matangazo iliyopo Themi Hill,
Arusha.
SHARE
No comments:
Post a Comment