Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kushoto)
akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) mara alipowasili nyumbani kwa maraehemu
mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa ajili ya kutoa pole kwa familia ya
marehemu pamoja na ndugu wa marehemu akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kufuatia kifo cha mzee
Selemani Mrisho Kikwete kilichotokea nchini India.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kushoto)
akisalimiana na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mzee
Mohamed Seif Khatib (kulia) mara alipowasili nyumbani kwa maraehemu mzee
Selemani Mrisho Kikwete kwa ajili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu
pamoja na ndugu wa marehemu akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kufuatia kifo cha mzee Selemani
Mrisho Kikwete kilichotokea nchini India.
Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete
(kulia) akisalimiana na Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdallah Mnyasi
mara alipowasili nyumbani
kwa maraehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa ajili ya kutoa pole kwa
familia ya marehemu pamoja na ndugu wa marehemu akiwemo Rais Mstaafu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete kufuatia
kifo cha mzee Selemani Mrisho Kikwete kilichotokea nchini India.
Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete
(kulia) Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job
Ndugai (katikati) pamoja na Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdallah
Mnyasi wakijadiliana nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete
wakati Spika alipotembelea kwa ajili ya kutoa kwa pole kwa familia ya
marehemu pamoja na ndugu zake leo Jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya waomborezaji waliohudhuria kuhani msiba nyumbani kwa marehemu mzee
Selemani Mrisho Kikwete kwa ajili ya kutoa pole leo Jijini Dar es
Salaam.
Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete
(wa pili kulia) Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Job Ndugai (wa pili kushoto) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi
(CCM) Mzee Mohamed Seif Khatib pamoja na Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh
Abdallah Mnyasi wakiomba dua nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho
Kikwete wakati Spika alipotembelea kwa ajili ya kutoa kwa pole kwa
familia ya marehemu pamoja na ndugu zake leo Jijini Dar es Salaam.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kulia)
akisalimiana na baadhi ya watu waliotembelea nyumbani kwa marehemu mzee
Selemani Mrisho Kikwete kwa jili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu
pamoja na ndugu zake leo Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai(kushoto) akiongea na
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mzee Mohamed Seif Khatib
mara walipokutana nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa
jili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu zake akiwemo
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho
Kikwete leo Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai(kushoto) akiongea na
Mbunge
wa Chalinze, Mhe. Ridhiwan Kikwete mara alipotembelea nyumbani kwa
marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa jili ya kutoa pole kwa familia
ya marehemu pamoja na ndugu zake akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete leo Jijini Dar es
Salaam.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai(kushoto) akiongea na
Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete
mara alipomtembelea nyumbani kwa marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete
kwa jili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu zake
akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya
Mrisho Kikwete leo Jijini Dar es Salaam.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai(katikati)
akiagana na baadhi wa waombolezaji mara alipotembelea nyumbani kwa
marehemu mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa jili ya kutoa pole kwa familia
ya marehemu pamoja na ndugu zake akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete leo Jijini Dar es
Salaam. Kulia ni Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete
(kulia) akimsindikiza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Job Ndugai wakati akiondoka nyumbani kwa marehemu mzee Selemani
Mrisho Kikwete kwa jili ya kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na
ndugu zake akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Jakaya Mrisho Kikwete leo Jijini Dar es Salaam.
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai (kushoto)
akiagana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya
Mrisho Kikwete mara baada ya kutoa pole nyumbani kwa marehemu mzee
Selemani Mrisho Kikwete kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu zake
akiwemo Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya
Mrisho Kikwete leo Jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Benedict
Liwenga-Maelezo)
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai akiwasili
(kulia) nyumbani kwa marehemu Mzee Selemani Mrisho Kikwete kwa ajili ya
kutoa pole kwa familia ya marehemu pamoja na ndugu wa marehemu akiwemo
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho
Kikwete kufuatia kifo cha mzee Selemani Mrisho Kikwete kilichotokea
nchini India.
SHARE
No comments:
Post a Comment