Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano Mheshimiwa
January Makamba akiangalia baadhi ya sampuli za mifuko isiyoharibu
mazingira ambayo inatengenezwa na Umoja wa Watengeneza mifuko
isiyoharibika Tanzania (UWAMITA) Kulia ni Mwenyekiti wa kikundi hiko
Jumanne Mgude.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano Mheshimiwa
January Makamba, akiongea na Wanakikundi wa Umoja wa Watengeneza Mifuko
isiyoharibika Tanzania (UWAMITA) walipomtembelea Ofisini kwake mtaa wa
Luthuli jijini Dar es Salaam leo.
SHARE
No comments:
Post a Comment