WAZIRI
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amezungumza na
wadau wa mziki wa Dansi leo jijini Dar es Salaam na kusikiliza
changamoto mbalimbali za wadau hao wa muziki huo wa Dance.
Waziri
wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye akizungumza na
wanamziki wa Dansi leo alipokutana nao katika ukumbi wa vijana Kinondoni
jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi
wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA), Godfrey Mungereza akizungumza na
wakongwe wa muziki wa Dansi leo katika ukumbi wa Vijana Kinondoni jijini
Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo,
Nape Nnauye.
Mkurugenzi
wa bendi ya Muziki wa Dance nchini African Starz (Twanga Pepeta), Asha
Baraka akizungumza katika mkutano wa wanamziki wa Dansi na Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye
Mwanamziki wa Mziki wa Dansi, Duncan Nnjirima akichangia maada katika mkutano huo na Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, Nape Nnauye.
Wakongwe wa mziki wa Dansi wakimsikiliza Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo,Nape Nnauye leo jijini Dar es Salaam.
Picha na Al-Hassan Michuzi.
SHARE
No comments:
Post a Comment