Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiwasili kwenye mkutano wa
hadhara uliofanyika eneo la Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani
Kilimanjaro leo chana
Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akipokewa kwa ngoma maalum na kinamama wa
Mjini Moshi alipowasili kuhutubia mkutanowa hadhara katika eneo la
Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro leo
Msemaji wa CCM Ole Sendeka akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili
eneo la Bomambuzi, Pasua mjini Moshi leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM
mkoa wa Kilimanjaro Iddi Juma.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM, Juma Raibu ambaye ameshinda kesi
ya Udiwani katika Kata ya Mbomambuzi, akisalimia wananchi katika
mkutano wa hadhara uliofanyika Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani
Kilimanjaro, wakati wa mkutnao wa hadhara wa Msemaji wa CCM, Ole Sendeka
uliuofanyika katika eneo hilo la Bomambuzi leo.
Mwenyekiti wa CCM wa zamani wa mkoa wa Kilimanjaro Mercy Siro (katikati) akiwa kwenye mkutano huo wa hadhara
Mjumbe wa NEC na Ofisa Mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi,
Makao Makuu ya CCM, Kilumbe Ng’enda akizungumza kumsafishia njia Msemaji
Mkuu wa CCM, Ole Sendeka katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo
katika eneo la Bomambuzi, eneo la Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro

SHARE
No comments:
Post a Comment