TRA

TRA

Wednesday, April 27, 2016

PROF.MUHONGO ASAINI KIBALI CHA KUHAMISHA LESENI YA MADINI

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

M1
Waziri wa Nishati Profesa Sospeter Muhongo,(katikati) akiwa na ujumbe utoka ubalozi wa china ukuongozwa na kansela Gou Haodong(kulia kwa Waziri) pamoja na watendaji wa Wizara wakiwa katika kikao cha pamoja kabla ya kusainiwa kwa kibali cha uhamisha leseni ya uchimbaji wa kati  wa madini kutoka Kampuni ya uchimbaji wa madini ya China ya Henan AfroAsia  Geo-ngeneering ( Tanzania) kwenda Kampuni ya uchimbaji wa Dhahabu EM Tanzania Limited.
M2
Waziri wa Nishati Profesa Sospeter Muhongo akisaini kibali cha kuhamisha leseni ya uchimbaji wa kati  wa madini kutoka Kampuni ya uchimbaji wa madini ya China ya Henan AfroAsia Geo- Engeneering ( Tanzania) kwenda Kampuni ya uchimbaji wa Dhahabu ZEM Tanzania Limited, tukio lililofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Nishati na Madini .
M3
Waziri wa Nishati Profesa Sospeter Muhongo( wa pili kulia), Kansela wa ubalozi wa China, Gou Haodong(wa pili kushoto) na  Maneja wa ampuni ya uchimbaji madini ya Henan AfroAsia Zhang Jiangbo kwa pamoja wakionesha kibali cha kuhamisha leseni ya uchimbaji wa kati  wa madini kutoka Kampuni ya uchimbaji wa madini ya China ya Henan AfroAsia  Geo- Engeneering ( Tanzania) kwenda Kampunia uchimbaji wa Dhahabu ZEM Tanzania Limited,uchimbaji wa madini hayo utafanyika katika kijiji cha Nyasirori Wilayani Butiama Mkoani Mara kuanzia mwezi Desemba mwaka 2016.
M4
Kansela wa ubalozi wa China, Gou Haodong(kushoto) akiweka saini kitabu cha wageni ofisi kwa Waziri wa Nishati na Madini, Waziri wa Nishati Profesa Sospeter Muhongo(kulia) mara baada ya kumaliza kutano wao.
M5
Waziri wa Nishati Profesa Sospeter Muhongo ( wa pili kulia), Wakibadilishana mawazo na Kansela wa ubalozi wa China, Gou Haodong(wa pili kushoto) katika Ofisi ya Waziri wa Nishati na Madini baada ya kumaliza kusaini kibali cha kuhamisha leseni chimbaji wa madini katika kijiji cha Nyasirori wilayani Butiama utakaoanza mwezi Desemba mwaka huo, Maneja wa Kampuni ya uchimbaji madini ya Henan AfroAsia Zhang Jiangbo(kulia) (P.T)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger