Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Dkt.Abduhamid Yahya Mzee kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi
na Katibu Mkuu Kiongozi katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini
Zanzibar jana jioni,[Picha na Ikulu.]

Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Nd,Salum Maulid Salum kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini
Zanzibar jana jioni,[Picha na Ikulu.]

Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Nd, Joseph Abdalla Meza kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa
Pili wa Rais katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana
jioni,[Picha na Ikulu.]

Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Dkt.Juma Malik Akili kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya katika
hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibarjana jioni,[Picha na Ikulu.]

Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akimuapisha Nd,Mustafa Aboud Jumbe kuwa Katibu Mkuu Wizara ya
Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini
Zanzibar jana jioni,[Picha na Ikulu.] (P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment