
Msemaji
wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akionyshwa na Katibu wa
CCM mkoa wa Manyara, Ndengaso Ndakubali (kulia), jinsi Jengo la Ofisi ya
CCM mkoa huo, lilivyoungua moto hivi karibuni, Sendeka alipokagua jengo
hilo, jana Aprili11, 2016, akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Manyara.

Msemaji
wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka, akizungumza na Wajumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka Wilaya za Babati Mjini na Babati
Vijijini, katika ukumbi wa CCM mkoawa Manyara, jana Aprili 11, 2016,
akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo.
(Picha na Bashir Nkoromo).(P.T)
SHARE








No comments:
Post a Comment