TRA

TRA

Monday, April 18, 2016

TEA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WATOTO WENYE USONJI

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Kamishina Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo (katikati), akiwasili katika viwanja vya Shule ya Msingi Msimbazi Mseto jijini Dar es Salaam baada ya kushiriki matembezi ya hiari ya kuadhimisha siku ya Watoto wenye Usonji yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. 
Kamishina Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo (kushoto), akipeana mkono na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), mara baada ya kushiriki matembezi ya hiariya kuadhimisha siku ya watoto wenye usonji yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Kuhudumia Watu Wenye Usonji Tanzania (NAPAT), Dk. Stella Rwezaula. 
Baadhi ya watu waliohudhuria maadhimisho ya Siku ya Watoto wenye Usonji.
Wazazi waliohudhuria maadhimisho ya Siku ya Watoto wenye Usonji.
Baadhi ya wanachama wa Lions Club of Dar es Salaam Mzizima ambao walikuwa wadhamini wa maadhimisho hayo.(P.T)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger