TRA

TRA

Saturday, April 2, 2016

ZIARA YA WAHARIRI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI BANDARI YA DAR ES SALAAM

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
 Baadhi ya wahariri toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakitembelea Bandari ya Dar es Salaam wakati wa warsha iliyoandaliwa na TPA kwa ajili yao katika kukuza uelewa wa masuala ya bandari
 Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Hebel Mhanga akizungumza na wahariri wa habari wakati wa warsha iliyoandaliwa na TPA kwa ajili ya kukuza uelewa wa masuala ya bandari
 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA Mhandisi Alois Matei akizungumza na wahariri wa habari wakati wa warsha iliyoandaliwa na TPA kwa ajili ya kukuza uelewa wa masuala ya bandari
 Meneja Mawasiliano wa TPA Bi Janeth Ruzangi  akifafanua jambo kwa wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakati wa warsha iliyoandaliwa na TPA kwa ajili ya kukuza uelewa wa masuala ya bandari
 Mkandarasi wa mradi wa  One Stop Centre Albert akifafanua jambo kwa wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakati wa warsha iliyoandaliwa na TPA kwa ajili ya kukuza uelewa wa masuala ya bandari
 Mkuu wa Ulinzi wa TPA Razaro Twange akifafanua kuhusu mradi wa ISS kwa wahariri wa vyombo vya habari wakati wa warsha iliyoandaliwa na TPA kwa ajili ya kukuza uelewa wa masuala ya bandari
Msimamizi wa mradi wa 'flow meter' Mhandisi Mary akifafanua jambo kwa wahariri wa vyombo habari wakati wa warsha iliyoandaliwa na TPA kwa ajili ya kukuza uelewa wa masuala ya bandari

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger